Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ameen Shem ubarikiwe tena na tena busara zako ziongezeke zaidi na zaidi ubarikiwe na familia yako!
Huyu is my disease nowadays kumuwaza sio option!!!wengine wadhaifu tukipenda dunia yote inajua

Na nyie mabinti wa pwani nyinyi ni hatari sana. Niliwahi kupata kamoja kidogo nidisco chuo yaani hata sijui nilipata pataje first class. Mkipenda kweli mnapenda dah! Ka Halima sitakaa nikasahau wallahi
 
Hapana. Huyo bro atakuwa na lake jambo. Au ni wale Wasukuma wa zamani waliolelewa kwenye mfumo dume na polygamy. Wakipata vihela tu basi kitu cha kwanza ama ni kuongeza wake au michepuko. Wala siyo kosa lako shemu hata siku moja usikae ukajilaumu...By the way asingeenda zake senene za Italy ungezionja lini? Good riddance shem
Hahha!ahsante sana kwa maneno yako Aseehh!yaani I can imagine watu wa karibu wanavoinjoi kwa kweli sidhani km wanapata msongo wa mawazo!!!
Nshamsamehe Mimi yangu yanaenda...hapo kwa senene wa Italy sasa huwezi amini wamenishinda kula!!!
 
Na nyie mabinti wa pwani nyinyi ni hatari sana. Niliwahi kupata kamoja kidogo nidisco chuo yaani hata sijui nilipata pataje first class. Mkipenda kweli mnapenda dah! Ka Halima sitakaa nikasahau wallahi
loooh sio wote wengine kama sisi hatuna kituu!!
Shem ulipagawa ukapagawa tena!alikua anakupa zile 'hamza kafia ubalozini"mpk unaomba poo!!hahaha mi naskiaga tu Ila sijui km tupo hvyoo!!tunajua kupenda haswaa
 
Hahha!ahsante sana kwa maneno yako Aseehh!yaani I can imagine watu wa karibu wanavoinjoi kwa kweli sidhani km wanapata msongo wa mawazo!!!
Nshamsamehe Mimi yangu yanaenda...hapo kwa senene wa Italy sasa huwezi amini wamenishinda kula!!!
Unashindwa kula senene dah! Kwa mulangira hilo ni kosa kubwa mno. Jitahidi tu utawazoea. Mbona watamu sana?
IMG-20200524-WA0047.jpg

Ingekuwa ni hawa jamaa hapa chini ungewaweza?

IMG-20200524-WA0046.jpg
 
Umeona lakini rangi hiyo ya mtume? Msukuma hapo hata ng'ombe na mashamba yote ya ukoo tunauza. Hatari sana!
Mmeiona asseehh!wasukuma kwenye wanawake weupe sijui waliona nini!!!!yaani wale mashemeji zangu wooote wameoa wanawake weupe kuna mmoja alimtakaga mdogo wangu wa kuzaliwa siku 1 alimuona weee!alimsumbua jamanii sina hamu!!!ni mweupe!!halafu kana kashepu kidogo!!
 
loooh sio wote wengine kama sisi hatuna kituu!!
Shem ulipagawa ukapagawa tena!alikua anakupa zile 'hamza kafia ubalozini"mpk unaomba poo!!hahaha mi naskiaga tu Ila sijui km tupo hvyoo!!tunajua kupenda haswaa
Nilikuwa bado na ushamba wa Kisukuma aisee. Kalinipelekesha dah! Yaani nikipata boom lote nakapa ila kalikuwa kanajua kupika hatari. Mpaka nilinenepa yaani. Sema sasa usiku weeeh! Kesho yake madarasani ni kupiga miayo tu lekchara anachora magrafu ya Economics ubaoni mi wala siyaelewi. Ila Mungu siyo Athumani nikafaulu aisee....

Binti wa Kizaramo akikuamria umekwisha shem
 
Mmeiona asseehh!wasukuma kwenye wanawake weupe sijui waliona nini!!!!yaani wale mashemeji zangu wooote wameoa wanawake weupe kuna mmoja alimtakaga mdogo wangu wa kuzaliwa siku 1 alimuona weee!alimsumbua jamanii sina hamu!!!ni mweupe!!halafu kana kashepu kidogo!!
Huyo cheupe mwenye kashepu ameshaolewa au bado shem? Nina mtoto wa dada tena yuko huko huko Dar sema neno moja tu tuwe ndugu sasa hivi shem
 
Nilikuwa bado na ushamba wa Kisukuma aisee. Kalinipelekesha dah! Yaani nikipata boom lote nakapa ila kalikuwa kanajua kupika hatari. Mpaka nilinenepa yaani. Sema sasa usiku weeeh! Kesho yake madarasani ni kupiga miayo tu lekchara anachora magrafu ya Economics ubaoni mi wala siyaelewi. Ila Mungu siyo Athumani nikafaulu aisee....

Binti wa Kizaramo akikuamria umekwisha shem
loohhh!!!musukuma ndani ya penzi la kizaramo lazma uombe poo!!kupika asili yetu aseehh!!sijisifu Ila watu wa pwani wanajua kupika!!!Mi napenda sanaa kupika Shem niliendaga usukumani mpk Leo Hawanisahau kwa mapishi,kulima siwezi,kutwanga siwezi nilipewa sekta ya jikoni tu!nlikua nkienda wanafurahia balaa!!!then nkajifunza kupika mlenda wa Karanga, mama anasema "mwinga wangu amekuja sasa tunakula kujiramba"
 
Back
Top Bottom