Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hahaaa sasa hata nikisema nishowoff nitashowoff nini wakati sina cha kushowoff [emoji23][emoji23]sanaaa halafu apendi showoff
Hahaaa sasa hata nikisema nishowoff nitashowoff nini wakati sina cha kushowoff [emoji23][emoji23]sanaaa halafu apendi showoff
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hata mimi nikipiga na camera yako nitatokea hivyo? Wacha mambo yako bwana
jischo hilo dada.. kasura hako sasa 😇😇😇Hahaaa sasa hata nikisema nishowoff nitashowoff nini wakati sina cha kushowoff [emoji23][emoji23]
Nambie mdogo wangu [emoji4][emoji4]dada [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Naona mkuu unapiga vitu laini
Umeacha yale mambo?
Hujakosea kabisahahahaha humu wengine utani wa chitchat hawawezi. inabidi kuchat kwa step
😊😊😊😊😊Nambie mdogo wangu [emoji4][emoji4]
Pole Uncle 😊😊😕Hujakosea kabisa
Nahisi utani ni hulka ya mtu ..mimi siwezi kabisa .
Ni vyema kuelewa watu jinsi walivyo ... watu hatufananivzr sio wote wanaweza.nilijua hili ndo maana nika nyuti,km mmoja nilimtania we nilikoma
😊😊😊 shemeji yako anakupa hii.. vipi jumamosi tukamcheki basioiiiii mzee wa mirinda nyeusi
Unapooza Koo Leo hupigi bia yetu pendwa BALIMI
imekaa vzrNi vyema kuelewa watu jinsi walivyo ... watu hatufanani
Kuna utani mwingine wa kisen.ge sana huwa natamani hata nichome mtu kisu akafie mbele!vzr sio wote wanaweza.nilijua hili ndo maana nika nyuti,km mmoja nilimtania we nilikoma
Hahahaha.utaenda jela rafiki,unapotezeaKuna utani mwingine wa kisen.ge sana huwa natamani hata nichome mtu kisu akafie mbele!