Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakukubali sana afande. Hufutagi picha yaani.

Happy Valentine Day kamanda! [emoji1545]
Aah syb unanipatiaga hapo tu yaani kila nikitaka kufuta picha nakuta comment yako unasema "nakukubali sana hufutagi picha" basi na mimi bichwa hilooo sifuti kweli ili nisikuangushe [emoji23][emoji23]

Ila zisi taimu nafuta haki ya mama [emoji1787][emoji1787]

Happy Valentines Day [emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah syb unanipatiaga hapo tu yaani kila nikitaka kufuta picha nakuta comment yako unasema "nakukubali sana hufutagi picha" basi na mimi bichwa hilooo sifuti kweli ili nisikuangushe [emoji23][emoji23]

Ila zisi taimu nafuta haki ya mama [emoji1787][emoji1787]

Happy Valentines Day [emoji120][emoji120]
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom