Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Khaaa ulitaka nile magimbi ndio uone nimekula my ex😅A
Asante wanaume wa daslama
Khaaa ulitaka nile magimbi ndio uone nimekula my ex😅A
Asante wanaume wa daslama
Mkuu samahani,naomba unikumbushe yale maelekezo namna ya kufanya kwenye setting ya simu ili jf App iweze kuonyesha picha kama kawaida
Wanaume wa Dar bwanaKhaaa ulitaka nile magimbi ndio uone nimekula my ex😅
Wingi wa chakula haina maana ndio utapata nguvu my exWanaume wa Dar bwana
Sasa hapo kwa chakula hicho unapata wapi nguvu?
Unakula ugali mkuuubwa kumbe maskini unajaza wanga tu mwilini....ukiangalia vzr huo msosi umebalance virutubisho vyote muhimuWingi wa chakula haina maana ndio utapata nguvu my ex
Yaani udokoe tu hivyo halafu useme haimati kwenye kupata nguvu kweli!Wingi wa chakula haina maana ndio utapata nguvu my ex
Umebalance ndiyo lakini quantity ndogo mnoUnakula ugali mkuuubwa kumbe maskini unajaza wanga tu mwilini....ukiangalia vzr huo msosi umebalance virutubisho vyote muhimu
Quality matters not quantityUmebalance ndiyo lakini quantity ndogo mno

My ex nguvu zipo za kutoshaYaani udokoe tu hivyo halafu useme haimati kwenye kupata nguvu kweli!

Uncle unakomaje.. 😀😀😀😀. Basi kwa sie washari washari tunalo, bila kumtibua mtu sioni raha kabisavzr sio wote wanaweza.nilijua hili ndo maana nika nyuti,km mmoja nilimtania we nilikoma
Quality na quantityQuality matters not quantity![]()
Hivi huyu mrembo anamilikiwa na nani?So tired today! Evening friends!View attachment 2120306
Umenichekesha sana. Ukifanya hivyo huwezi kununua kitu aisee. Mara ya kwanza nimeenda London kwenye interview nikatakiwa kutafuta suti eti more presentable. Suti yenyewe eti inauzwa £170. Mi nikipiga mahesabu nakuta ni karibia laki 5. Nikawa najisemea kweli ninunue suti kwa laki 5? Nikakomaa tu na suti niliyokuwa nimekwenda nayo...na kazi sikupataAthari za mfumuko wa bei, nakumbuka mara ya kwanza kwenda ughaibuni nilipotoka na mwenyeji wangu kununua mahitaji ya nyumbani (groceries), aliniachia nichukue vitu ntapenda kutumia na yeye ndo alilipa. Aiseeh nilipata tabu.... kila bidhaa kabla sijaiweka kwenye toroli nilikuwa napiga mahesabu ingekuwa bongo ningelipa shilingi ngapi, nikiona bei inazidi ya Tanzania nakiacha.
Akahisi namuonea aibu akaniambia ananiacha ntamkupa paying point... nilichukua muda akashangaa nimekwama wapi kumbe mwenzie kila bidhaa nashika calculator naweka exchange rate huyo narudisha bidhaa kwenye shelf.
Akanirudia kimya kimya akaona nnachofanya. Ilibidi anunue turudi nyumbani kisha akanikalisha kunipa darasa.....
Nikaacha hiyo tabia..... guess what....
Nilivyoona hiyo bei ya hizo flower vase nimechukua calculator chaap
Sijui nina infobia ya bei....
Cheers for the pizza.
Najiuliza msukuma alivyokuwa anakula pizza, aliifinyanga kama ugali au alikiwa anainyofoa kama anavyonyofoa minofu ya sato![]()





