How was your Valentine's my dearWasalimie wahuko mamaa and Enjoy your Valentine kama jina lakooo !
Karembo ketu
Mkuu na wewe ulibeba hii mifuko?Hahaha daaah![]()
Nakukubali sana afande. Hufutagi picha yaani.

Nimebeba sanaMkuu na wewe ulibeba hii mifuko?
Tuachane na mambo ya vijana sijui valentine tutafute pesaNimebeba sana

Nimekutafuta best bila mafanikio, nilitaka Juzi twende tukaburudike na live Bendi inayopiga pale Rock City MallHeyooo
Kweli mkuuTuachane na mambo ya vijana sijui valentine tutafute pesa![]()

Of course Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa Mfumo dume, na kusema kweli Mama pamoja na Chama Kwa ujumla kitahitaji nguvu kubwa kuweza kukubalika tena Kwa maana JPM ameishi sana mioyoni mwao na it's like hawakutegemea safari ya shujaa wao ingehitimishwa mapema vile.Mbali na hiyo tu wanasemaga huo ukanda ni team Magufuli na hawajawahi kumkubali huyu Mama achilia mbali kukubali kutawaliwa na wanawake! Maana wao wanaamini siku zote mwanamke yuko chini tu na hatakiwi kuongoza popote pale!
Ngoja wakuandalie then zitakuja hapo hapo Geneva. Hope utataka Samaki wakubwa kubwa wenye minofu ya kutosha 😋😋Geneva of Africa
Kwa hiyo hata mimi nikipiga na camera yako nitatokea hivyo? Wacha mambo yako bwanaJamani ni camera tu dada![]()
Usiniulize kwanini nimelike Kwa kuweka imoji 😍🏃🏃🏃🏃🏃