T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,091
Inapatikana ndiyoApp ya kuondoa emoji imepatikana kumbe ?
Kwema lakini mkuu
Inapatikana ndiyoApp ya kuondoa emoji imepatikana kumbe ?
Ahhh wewe tena daddy....no doubt 😉😘I know what that face looks like 😘😉
Asante kwa taarifaInapatikana ndiyo
Kwema lakini mkuu
😀😀🙄 ukitumia emoj, unatakiwa ufanye ku screenshot.. ile unayo screenshot ndio unaweka 😀😀.. ila bila hivyo emoj zinaondolewa vizurriiApp ya kuondoa emoji imepatikana kumbe ?
Anha kumbe ...Thank youukitumia emoj, unatakiwa ufanye ku screenshot.. ile unayo screenshot ndio unaweka
.. ila bila hivyo emoj zinaondole vizurrii
Akhsante kushukuru kwa taarifaAsante kwa taarifa
Salama tu vipi wewe ?
Ooh vyemaAkhsante kushukuru kwa taarifa
Vizuri sana kama ni salama
Mimi niko poa/salama kabisa namshukuru mwenyezi MUNGU
Muadabishe kidogo bana najua wee mwanaume hushindwi!Hanisumbui saaana ila ukweli siri yangu ananisumbua
KARIBU SANA TinsleyOoh vyema
Usiwaze my friend nangojea ajae tu, mbona atalia yeyeMuadabishe kidogo bana najua wee mwanaume hushindwi!


😂😂😂😂😂😂😂 Fanya hivo akujueeeee🤸🤸🤸🤸🤸Usiwaze my friend nangojea ajae tu, mbona atalia yeye![]()
hahahaha.nawe unapitaga kwa love?Duh
Hadi kwa love
Ndio nimetokapo
huyu anakaaga kabisa.. naeleke kijiwe mshikaki pale nimehakuka na njaaa paka kichwanihahahaha.nawe unapitaga kwa love?
ok. Ila kn mistari cjaelewa weka vzrhuyu anakaaga kabisa.. naeleke kijiwe mshikaki pale nimehakuka na njaaa paka kichwani
duh! itakuwa mitaa flani ya Wigelekelo ile.. kijiwe mshkaki kwenye mishkakiok. Ila kn mistari cjaelewa weka vzr
oh nimekusoma mkuuduh! itakuwa mitaa flani ya Wigelekelo ile.. kijiwe mshkaki kwenye mishkaki
Hahaaa huoni kilivopinda hivo?Ras simba
Ama umechapa OG
Yenyewe![]()