Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
kwaiyo ulivyokuwa uananiambia unampenda ulikuwa unanitania 🙄🙄🙄Ni utani tu , rafiki
kwaiyo ulivyokuwa uananiambia unampenda ulikuwa unanitania 🙄🙄🙄Ni utani tu , rafiki
Triza sio kisu sana.. kama ka Glory.. sema sasa hivi toka kametoka Malaysia kamekuwa kabonge flani ule uzuri wa utotoni umetoweka.. vipi mtu chake twendeKwa Prophetess Trizah au?
Sikumbuki mie kabisakwaiyo ulivyokuwa uananiambia unampenda ulikuwa unanitania![]()

Sisi tunaotumia app unafikiri tunaona basi hata ukiweka ile emoji ya DislikeUsiniulize kwanini nimelike Kwa kuweka imoji![]()
sisi huku unaambiwa tu "fulani liked your post". Siyo kama kwenye browser unaambiwa "fulani reacted to your post with Love
au Haha
au Thanks
".mtu chake anajua kupenda na kutunza shauli yako.. uangukie kwa makabaira 😎😎Sikumbuki mie kabisa![]()
dada 🥳🥳🥳🥳🥳Sisi tunaotumia app unafikiri tunaona basi hata ukiweka ile emoji ya Dislikesisi huku unaambiwa tu "fulani liked your post". Siyo kama kwenye browser unaambiwa "fulani reacted to your post with Love
au Haha
au Thanks
".
Mungu ni mwema ,hakika umeelewa .
utani tuu dogo 😀😀😀Mungu ni mwema ,hakika umeelewa .
Hayautani tuu dogo 😀😀😀
😀😀😀😀😀..Haya
Triza sio kisu sana.. kama ka Glory.. sema sasa hivi toka kametoka Malaysia kamekuwa kabonge flani ule uzuri wa utotoni umetoweka.. vipi mtu chake twende
😀😀😀😀 akili zangu sijui hata zinasemaje kwanza.. Glory kipindi katoto kanasoma sec.. karikuwa motrooo sasa hivi kawa kama mama kajiachia.. Pastaa mamaa upo lakini jana umekosa offerKazi ipo


akili zangu sijui hata zinasemaje kwanza.. Glory kipindi katoto kanasoma sec.. karikuwa motrooo sasa hivi kawa kama mama kajiachia.. Pastaa mamaa upo lakini jana umekosa offer
mimi humu siko serious hata kdg.Ooh vyema
Okaymimi humu siko serious hata kdg.
hahahaha.hataki kudekezwamtu chake anajua kupenda na kutunza shauli yako.. uangukie kwa makabaira 😎😎
hahahaha humu wengine utani wa chitchat hawawezi. inabidi kuchat kwa steputani tuu dogo 😀😀😀
😊😊😊 mtu unakuta anatamani ungekuwa karibu akuzabua hata na chupa ya chai ya kichwa.. goja niache kutania watu..hahahaha humu wengine utani wa chitchat hawawezi. inabidi kuchat kwa step
hahahaha.😊😊😊 mtu unakuta anatamani ungekuwa karibu akuzabua hata na chupa ya chai ya kichwa.. goja niache kutania watu..
No need to be under fear, if you are born again This how you disconnect yourself from these evil covenants.5 dangerous covenants you should know about
Saint Anne
Heaven Sent
Tinsley
Karma
View attachment 2119589
1. Ancestor covenants
2. Sexual covenants
3. Verbal covenants
4. Symbolic covenants
5. Demonic covenants