Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mazingira yako kuhakikisha yapo clean na yanayo zunguka home + plus dawa kupuliza mazingira kuuwa wadudu na mazalia yake a. k. a fumigation
Mazalia ya mbu hayapo, dawa ya kupuliza haifai kwa sababu sehemu za kuingilia zipo kibao kwa hiyo unaua hawa wanaingia wengine...suluhisho kwangu mimi ni net tu hata kula muda mwingine nalia kwenye net
 
Pole kama kuna maingilio ndio mtihani.. ila hapa nilipo huwa ikipigwa fumigation hakunaga mmbu wala bibi yake na mbu na maingilio yapo.. sijui wanapiga dawa gani hapo kwako
 
Babe...
IMG-20220214-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom