Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapendwa,

VALENTINE DAY siyo kunywa na kula kwa kupitiliza. HAPANA. VALENTINE DAY iwe ni pamoja na kila mwenza kujifanyia tathmini binafsi; ILI kupata majibu ya maswali mawili:

1. Je: kuna kitu au jambo gani nikilifanya LINAMUUDHI mpenzi wangu ?? Ukipata jibu lake, likusaidie kumwomba msamaha na kuliacha kabisa. Lakini jiulize pia;.

2. Je: kitu au jambo gani nikilifanya LINAMFURAHISHA mwenzi wangu?? Jibu lake likusaidie kudumisha na kuboreshwa jambo hilo. KAMA HUNA UHAKIKA, MUULIZE AKUAMBIE.[emoji173][emoji131]
 
Ahsante Mtumishi mwema.

Trading Places
Screenshot_20220214-213846_VLC.jpg
 
Back
Top Bottom