Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwisho wa siku, kila mtu alipitia ugumu wake na kwa kadri Mungu alivyo mdesign.. kuna mwingine alikuwa anasoma pale IST nae atakuwa alikuwa anapitia magumu
Kila mtu ana magumu yake inawezekana hata wewe ungetolewa kwenye hali ngumu ukapelekwa huko bado ungekutana na magumu. Mfano mimi hapa nyumbani kwangu nimezoea kulala na joto leo nimekuta ugenini wamewasha feni usingizi hauji baridi. Wanasema shida hazizoeleki ila mimi naona nimezizoea
 
😀😀😀 ndio maana maisha ni na shukrani ni kama maji na samaki...
 
Kila mtu ana magumu yake inawezekana hata wewe ungetolewa kwenye hali ngumu ukapelekwa huko bado ungekutana na magumu. Mfano mimi hapa nyumbani kwangu nimezoea kulala na joto leo nimekuta ugenini wamewasha feni usingizi hauji baridi. Wanasema shida hazizoeleki ila mimi naona nimezizoea
😀😀😀 unapenda joto kama mie.. napenda joto aseee.. hasa wakati wa kulala sitaki kabisa mambo ya baridi.. kama nikiwa AC au Fan ujue nataka kujifunika hadi kichwani 😀
 
Back
Top Bottom