Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
UmefuraahiEeh zipo 6
UmefuraahiEeh zipo 6
makete hakuna kitu nilikuwa napiga push up kifua wazi na bukta tuTukuyu hakuna baridi kihivyo mbona; kule Makete nili-surrender mwenyewe
Mambo ya wifi yako hayoo 😊😊😊 matunda yanaisha anasogeza ka kahawa pembeniiKaka yangu wa kishua![]()
🤣🤣🤣🤣
Wacha weeMambo ya wifi yako hayoo 😊😊😊 matunda yanaisha anasogeza ka kahawa pembenii View attachment 2118522
Na ndio ukweliMbali na hiyo tu wanasemaga huo ukanda ni team Magufuli na hawajawahi kumkubali huyu Mama achilia mbali kukubali kutawaliwa na wanawake! Maana wao wanaamini siku zote mwanamke yuko chini tu na hatakiwi kuongoza popote pale!
Dada yangu Karma yupo vizuri 😎😎Na ndio ukweli
makete hakuna kitu nilikuwa napiga push up kifua wazi na bukta tu
Karibu kabisa mdogo wangu.. upate darasa 😊😊😊Wacha wee
Wifi yupo vizuri,,nitachukua darsa kwake.
We endelea tu kufurahi,,,ila sisi tunaenda break kidogo,speed ilizidi mwendo.
😀😀😀 si unaona hata Bruce Lee alivyo ni kama mie tu, sema yeye kafaa
😀😀😀😀 eeeh si unajua tena.. mtoto anaandaa baba awe na nguvu za mwilini na rohoni
si unaona hata Bruce Lee alivyo ni kama mie tu, sema yeye kafaa