Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Nkamuu[emoji7][emoji7]View attachment 2118395
Tuna jambo letu saa kumi
Nkamuu[emoji7][emoji7]
Na ile ya juzi irudiwe
Dah kweli zipo sita(6) kama ulivyosema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Igweeeeee Igweeee Igweeee Igweeeee Igweeeee Igweeeee
Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nkamu ghwangu Simba ikishinda nitairudia[emoji2]
😂😂😂Mzee wa saikolojia, nimemiss ule uchebe wako[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dada zako HS na Chakorii watakupa mwongozo mwezi kabla ya ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchebe unanawiri tu sis darling, hivi nimeanza kuwa mwanasaikolojia sio!
Huwa sina bahati,naomba japo unitag nisafishe macho kiongozi.Nkamu ghwangu Simba ikishinda nitairudia[emoji2]
Atakuwekea tena.Kuna vitu vya msingi sana shem wangu Chakorii anaweka na kufuta, embu nifanyie supply pale kwa bro Majaliwa
Mbona unanicheka we mtoto![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Picha moja matata sanaNini hiko shemeji angu Chakorii amefuta?
Nimefurahi tu mimi jamaniMbona unanicheka we mtoto!
Dah hizi vocha[emoji7]cocastic nakusubiria uniambie nikutumiejeView attachment 2118326
Kaka yangu wa kishua[emoji3059]
Kesho itabidi nifanye jambo, niambie kabisa mtandao wako, Ila ujuwe sitakutag wala nini...
Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona haitashinda,
Nifanyie tu wepesi Kalumbu.
Unataka uweke?Kuna mtaalamu anaitwa Saint Anne huyo ni balaaa ikiwekwa tu chap ameidaka
Huwa sina bahati,naomba japo unitag nisafishe macho kiongozi.