Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji16][emoji16][emoji16]
-972217621.gif
 
Mkuu. Wewe kweli mtu hamtaniani hata kidogo tena dume jenzio halafu linakutag kwenye post yenye mambo ya kitoto namna hiyo eti kwa hisani yako utasemaje? [emoji16][emoji16][emoji16]
Haiko sawa hiyo, ukizingatia kuhusanisha na vitu kama hivyo. Haijaka sawa, heshimu na kuheshimiana muhimu sana
 
Haiko sawa hiyo, ukizingatia kuhusanisha na vitu kama hivyo. Haijaka sawa, heshimu na kuheshimiana muhimu sana
Nimeshangaa sana kwa sababu jamaa wala sina matani naye kabisa. Ndiyo. Heshima ni kitu cha bure na mimi huwa sipendi vurugu kabisa. Niko hapa kwa ajili ya matani tu na kusosholaizi wala sinaga ugomvi na mtu. Sijui jamaa kafikiria nini. Labda kalewa[emoji706][emoji706] [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Sure sijawai kuona ukiwa na makuu na mtuu.. tuendele kutaniani lakini lazima kunakuwa na mipaka na nidhamu.. hayo mambo ya aibu kwanza
 
Back
Top Bottom