Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2118283
Wanasemaga watu wa huku sio romantic, mmeona Lugha laini iliyotumika hapo?

Sitaki povu jamani
Mbali na hiyo tu wanasemaga huo ukanda ni team Magufuli na hawajawahi kumkubali huyu Mama achilia mbali kukubali kutawaliwa na wanawake! Maana wao wanaamini siku zote mwanamke yuko chini tu na hatakiwi kuongoza popote pale!
 
Back
Top Bottom