Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeshangaa sana kwa sababu jamaa wala sina matani naye kabisa. Ndiyo. Heshima ni kitu cha bure na mimi huwa sipendi vurugu kabisa. Niko hapa kwa ajili ya matani tu na kusosholaizi wala sinaga ugomvi na mtu. Sijui jamaa kafikiria nini. Labda kalewa[emoji706][emoji706] [emoji51][emoji51][emoji51]

Mimi nilijua wewe ndiyo umemtumia zile bidhaa[emoji3]
 
Mimi nilijua wewe ndiyo umemtumia zile bidhaa[emoji3]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...Nkamu jamani!

Mimi ni mtu mzima sana. Japo napenda matani lakini kwenye utoto huo nilishapita zamani mno miaka ya 70/80 huko.

Huyo bwana mdogo sijawahi hata kutaniana naye. Ndo maana nimeshangaa kidogo; na kusema kweli amenivunjia heshima sana ila nimeshamsamehe [emoji1545]
 
This day couldn't get any lazier πŸ₯±
20220213_183715.jpg
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...Nkamu jamani!

Mimi ni mtu mzima sana. Japo napenda matani lakini kwenye utoto huo nilishapita zamani mno miaka ya 70/80 huko.

Huyo bwana mdogo sijawahi hata kutaniana naye. Ndo maana nimeshangaa kidogo; na kusema kweli amenivunjia heshima sana ila nimeshamsamehe [emoji1545]
Wanyantuzu[emoji1787]

Nyeupe ni nyeupe

Wala sio nyeusi/kekundu

Halafu anasamehe
 
Back
Top Bottom