Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Kuna hizi dawa;toff plus,Piriton,Cetrizine na Predinisoline mojawapo inaweza kukusaidiaDokta nahitaji kukata mafuta mwilini nitumie kitu gani aseeh!!
Ila epuka sn matumizi ya dawa Kwa ugonjwa wa mafua maana ni ugonjwa ambao unaweza kupona bila dawa,fanya mazoezi ya kukimbia ili kupandisha immunity,tengeneza chai ya tangawizi nyingi,Kula matunda yenye vitamin c mara Kwa mara km ndimu na machungwa,waweza tafuna vitunguu saumu Ila vinakera mdomoni
La mwisho ;km utashindwa kufanya yote hayo,basi SEX ni Dawa tosha Kwa tiba ya mafua hasa km hupendi kufanya mazoezi..piga show ya maana usiwe mvivu(wahuni wanaita gogo,au show za kichaga),piga show mpaka timu pinzani iombe poo kipindi cha Kwanza tu, utakuja kunishukuru baada ya siku mbili tu
