Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220212-053035.jpg
 
Wala hata usijar yaan leo naweka kila kitu wazi, kna mtu ananisumbua huko kwa mzee wa Ruangwa, yaan anasema anataka kujua uhalisia wangu, maan anasikia tyuuh humu ndan jinsi nilivyo ila hajawahi kuona picha yangu, sasa mie kuanza kujieleza kwake ntachukua mda mrefu, na siwezagi kujieleza kwa mtu sana, ntampa picha aone tena wazi kabisaaa.
Igweeeeeeeeeee👏👏👏👏👏👏👏! Sa ngapi hio shos?? Usiache kunitag asee
 
Back
Top Bottom