Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Friday mood unlocked....
Screenshot_20220211-171816_Audiomack.jpg
 
Ah mi Msukuma bana! Tena chapa ya ng’ombe haswa!

Ila Wakenya hawafanani! Raila Odinga hafanani kabisa na Lulu Hassan!
Hao watu wa pwani Mombasa wa-exclude,hao ni km wabongo tu

Yeah I know wewe ni msukuma kitambo sn,nilikuwa naona ulivyokua unapigwa punches ukiongea Jambo lolote jema la magufuli enzi zile..Walikuwa wanakuita sukuma gang
 
Back
Top Bottom