Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

loohh!we ndo OG musukuma kabisaaa!ulijuaje alishaboronga ila maisha yanaendelea kivingine!!!!Niko na amani niliko sasa ila ukweli unabaki wale mabinti ni wasukuma siwazuii na siwakatalii asili yao!!na Likizo lazima waende kwa baba zao wadogo hukoo wakajue maadili ya kisukuma staki lawama baadae!
Kwenye ulimbwende hapo hakuna kituu!!
Nawajua sana wanaume wa Kisukuma hasa hawa wa rika langu (40+). Tulilelewa katika mfumo dume 100% huku tukifundishwa kuwa ubabe na kuwa na wanawake wengi ndiyo uanaume hasa. Ukikuta wa enzi hizo ambaye hana exposure kidogo halafu awe na vihela hela hivi nakwambia ni tatizo tena pevu. Japo anaweza kuwa na upendo wa kweli kwa mke na familia yake lakini huko nje pia ni lazima atembeze mkong'oto tena kwa uwazi na bila kujificha ficha eti ndo uanaume! Bagosha!

Unafanya vyema kuwaachia hao wanangu wajue desturi zao na ukoo wa baba. Ūlīnkīma wa masala ntūngīlīja (U mwanamke mwadilifu mwenye akili) !!!
 
Back
Top Bottom