reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
I can imagineKazi ya wifi yako kuvichezea hadi nisinzie![]()



yaani napendaga vindevu balaa!!!I can imagineKazi ya wifi yako kuvichezea hadi nisinzie![]()



yaani napendaga vindevu balaa!!!Ulishasema hili mara kadhaa huko juu..Wee mke wa mtu Mimi!!! Usifanye nkaswalikwa maswali magumu na wenye Mali buree!maana wanajua I'd yangu ya jf!
Umechagua wapi?Nasubiri ofa yangi tuu!!!!![]()
Muonee!kumbe mlikua machoo eehh!;loohg!ngoja nilale!
Ivi mama mchungaji ndo nini lakini..
Unakaa unatuvizia unasubiri tuteleze utukemee mapepo, kumbe muda wote upo tu hapa.
Eeh nawachunga kondoo wangu wakati wote.
Usisahau kuselfika na mchomeko basi leo



Yani ukianza wewe mimi naweka mpaka sura yangu humu Mama Pasta.
Sema suuuu




nasemaa, najua huwezi kuvunja mwiko wako.Mwiko gani tena. Don't dare me oohnasemaa, najua huwezi kuvunja mwiko wako.
Sssuuuuuuu....!
Hahahah!binamu mpk weee jamani!si tulikubaliana sisi tuna sura za kiwife materials jamani!!we vitu vizuri vitoke wapiiiRoho wa Bwana aliniamsha kutoka usingizini nije nione vitu vizuri
Nilivo mshamba sasa Siijui Dom hata...na sehemu za bata Mimi ni kazini nyumbani kulala!na hivi sinywii!!!Umechagua wapi?


!!!we kaninunulie nyama mnadani tu inatosha...Nakuelewa rafiki!!Ulishasema hili mara kadhaa huko juu..
Hizi story za kufurahisha genge tuu..








Nimeisoma hiyo "Don't dare me ooh" kwa sauti ya wamama wakinigeria.Mwiko gani tena. Don't dare me ooh
Huo usiku mdogo wangu unatunyima wengine uhondo bwana!!





hakuna loloteee Wazee tu sisiMnadani ni jumamosi mpaka jumamosi. Leo utakuta mabanda tupu.Nilivo mshamba sasa Siijui Dom hata...na sehemu za bata Mimi ni kazini nyumbani kulala!na hivi sinywii!!!!!!we kaninunulie nyama mnadani tu inatosha...
Hahahah!binamu mpk weee jamani!si tulikubaliana sisi tuna sura za kiwife materials jamani!!we vitu vizuri vitoke wapiii
I never did what?Nimeisoma hiyo "Don't dare me ooh" kwa sauti ya wamama wakinigeria.
I know you won't, you never did.
Hujawah kuselfikaI never did what?
Nakuelewa rafiki!!
Kuna thread ya kimasiharaa hukoo


