Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Sawa mkuu. Wewe na shemeji mtanipa taarifa mtakapokuwa na nafasi ili nije kuwaona wanangu. Hata kama ni mwaka kesho nitasubiri!



Sawa mkuu, karibu 2023


Sawa mkuu. Wewe na shemeji mtanipa taarifa mtakapokuwa na nafasi ili nije kuwaona wanangu. Hata kama ni mwaka kesho nitasubiri!





Amen
Nawajua sana wanaume wa Kisukuma hasa hawa wa rika langu (40+). Tulilelewa katika mfumo dume 100% huku tukifundishwa kuwa ubabe na kuwa na wanawake wengi ndiyo uanaume hasa. Ukikuta wa enzi hizo ambaye hana exposure kidogo halafu awe na vihela hela hivi nakwambia ni tatizo tena pevu. Japo anaweza kuwa na upendo wa kweli kwa mke na familia yake lakini huko nje pia ni lazima atembeze mkong'oto tena kwa uwazi na bila kujificha ficha eti ndo uanaume! Bagosha!
Unafanya vyema kuwaachia hao wanangu wajue desturi zao na ukoo wa baba. Ūlīnkīma wa masala ntūngīlīja (U mwanamke mwadilifu mwenye akili) !!!



kama ulikuwepo umelemga mulemule yaani 100%correct hujaacha kitu!!!Nasubiri ofa yangi tuu!!!!
Niseme nini mimi..
Ndenge ninii..(in Congolese voice






loohhh!Shimba bwana!!!Wanao wapo njoo uwaone uwafundishe Kisukuma napenda sana tamaduni za kisukuma wako vizuri sanaa haswa kwa mabinti na mpk Leo wanapractise that's why napendaga waende kwao wakajifunze some norms za kwaoSawa mkuu. Mi sina ishu. Mi nakuja kuona wanangu tu. Nyie hata muedelee na mambo yenu sawa tu![]()
Binamu iwe kheyr kwako mama mchungaji wanguHappy Sunday Y'allView attachment 2100462
Ukiona hivi mate lazima yajae mdomoni.
Hatuna bahati asee!Walioona wameona!!!sura za kina baba zetuu....!!!!wife materials
Jamani reymage ibariki jumapili yangu jamani jana nililala jamani!!kama ulikuwepo umelemga mulemule yaani 100%correct hujaacha kitu!!!
Sasa Mimi sio wa hvyoo!I do prefer love over everything!baba angu aliniambiaga ndoa ni mapenzi na huruma vikikosekana hvyo hamna ndoa hapo kuna mateso ya milele na nimekataa kunyanyasika Mimi.
Kuhusu kujua asili yao ni lazima wajue asili yao na every likizo hua nawauliza mnaenda wapi,Bariadi,Mwanza,tabora au Shinyanga kwa uncles zao na wanawapenda sana tuuu!hawana shida na watoto siwezi wadanganyia na nahitaji wakajifunze lugha yao ya asili.
Ujinga wa kuwakatalia watoto sins na siwezi Fanya hvyo maana watoto ndo ntawaumiza.
Videvu sasa!Happy Sunday...View attachment 2100514
navipendaga balaaa