[emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]jinga kweli wewee!!!Nyumbani kulala, okay
Wala usiwe na shaka. Hata kwenye uzi wa ricky boy huwa siandiki kitu [emoji3][emoji3]
Mungu anakuona nkamu tuhurumie na wengine jamani [emoji22][emoji22]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tukutane saa tisa na robo[emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]jinga kweli wewee!!!
Wa kukaaja jana nimeona mambo yako, ni [emoji95][emoji95][emoji95] sijui nilichelewaga wapi mimi.Nkamu tatizo mnalala sana[emoji2][emoji2][emoji2]
Nkamu tunakuomba wanyaki wenzio; tufanyie wepesi mweeh. Nyie kupitwa kunauma[emoji23][emoji23][emoji23]Nkamu tatizo mnalala sana[emoji2][emoji2][emoji2]
Nkamu mi nilkuwa lindo nimekesha usitufanyie hivyo [emoji1][emoji1]Nkamu tatizo mnalala sana[emoji2][emoji2][emoji2]
Nkamu mi nilkuwa lindo nimekesha usitufanyie hivyo [emoji1][emoji1]
Kwa kweli bora umuambie na wewe dada labda atakubali [emoji19][emoji19]Nkamu tunakuomba wanyaki wenzio; tufanyie wepesi mweeh. Nyie kupitwa kunauma[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani tumeinamisha na vichwa chini [emoji2309][emoji2309]Kwa kweli, tumepiga na magoti hapa tunavyotype[emoji23][emoji23]
Kwa kweli bora umuambie na wewe dada labda atakubali [emoji19][emoji19]
Mama Pasta nafurahi kukuonaNkamu tunakuomba wanyaki wenzio; tufanyie wepesi mweeh. Nyie kupitwa kunauma[emoji23][emoji23][emoji23]
Mama Pasta nafurahi kukuona
Km nnavyopitwa na zakooNkamu tunakuomba wanyaki wenzio; tufanyie wepesi mweeh. Nyie kupitwa kunauma[emoji23][emoji23][emoji23]
NakaziaaaMimi bado nimepiga magoti huku
Amina, nabarikiwa sana.Nimefurahi pia kukuona kijana wangu
Km nnavyopitwa na zakoo
Tanzania bora inaanza na familia bora, MUNGU awajalie vijana wote wenye wito wa ndoa wapate wenza sahihi na wafurahie maisha yao na kujenga kizazi bora cha Tanzania bora ya baadae. 2022 mwaka wa baraka kwako,njia ipoo ishi vyema.