Asante Rafiki..bora leo umeniangulia mwenyewe!
Tatizo lako ni kutotupia Selfie!hahahaha yaani live,unani.,.dah
Hahahahahahahaha.unanitupa ghafla hv
Umeona huko juu alivoniwashia moto, imebidi nisingizie nakuja kwako kulimalima nyasi za msimu wa mvua.Wee Mimi sio wa mtu chake asee
Hapana sijaona! Hahahaaa...Umeona huko juu alivoniwashia moto, imebidi nisingizie nakuja kwako kulimalima nyasi za msimu wa mvua.
[emoji3][emoji3][emoji3]Usiombee...Hapana sijaona! Hahahaaa...
Wa kukaaja jana nimeona mambo yako, ni [emoji95][emoji95][emoji95] sijui nilichelewaga wapi mimi.
Nkamu tunakuomba wanyaki wenzio; tufanyie wepesi mweeh. Nyie kupitwa kunauma[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Nkamu mimi ndiyo sijawahi kukubahatisha hata siku moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli bora umuambie na wewe dada labda atakubali [emoji19][emoji19]
Nakaziaaa
daah[emoji3]
Leo na wewe tumekuwa kundi moja la mama kupitwa😁Nkamu tunakuomba wanyaki wenzio; tufanyie wepesi mweeh. Nyie kupitwa kunauma[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo na wewe tumekuwa kundi moja la mama kupitwa[emoji16]
Tumeshika kidedea kwa picha yake😁Eeh jana nililala mapema sana, kumbe huku nkamu akaamua kutuheshimisha wanyaki[emoji23][emoji23]
Igweee Igweee IgweeeeTumeshika kidedea kwa picha yake[emoji16]
Ila angalau na wewe umekuwa mama kupitwaIgweee Igweee Igweeee