Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Majina haya unajitungia tu sidhani kama yanahusiana na urembo ....
Tinsley hili limekaa kiume hivi hata hivyo ni unisex name .
Ni zuri, vyovyote litakavyotumika nitalipenda.
Hili la urembo mkuu kwanini tusilithibitishe kwa kuchat kwa picha..[emoji12][emoji12]
Kama muktadha wa uzi. Me naamini uko mcute sana
 
Ni zuri, vyovyote litakavyotumika nitalipenda.
Hili la urembo mkuu kwanini tusilithibitishe kwa kuchat kwa picha..[emoji12][emoji12]
Kama muktadha wa uzi. Me naamini uko mcute sana
Kha hapo kwa ucute tena sikuwezi ...
Nimeweka picha kadhaa humu bila shaka umeniona .
 
Back
Top Bottom