Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
nitakutumia matukio tufanya yako mkuu,ukitekwa tulia
nitakutumia matukio tufanya yako mkuu,ukitekwa tulia
Mimi ni most unfortunate. Labda ukinitagNtakujuza badae Badae nikiamka saivi narudi kitandani!
Mungu anakuona nkamu tuhurumie na wengine jamaniNadhani nilikua nishaifuta


Asije akaja kuniletea noma huko, me kupigana siwezi, naweza kumfurahisha Mahondaw tuu..Ni vizuri akijua tu Ili ajue nimeenda intentionally kabisa .
Wimbo mzuri
Hakuna wa kukupiga akupige kisa nini??Asije akaja kuniletea noma huko, me kupigana siwezi, naweza kumfurahisha Mahondaw tuu..
mzuri kama weweee 😊😊Wimbo mzuri
Asante
Si namuibia ndege wake hapo.Hakuna wa kukupiga akupige kisa nini??
Mie tena ah wapi ,hapa ni sura ya baba .mzuri kama weweee 😊😊
Acha.. hujajiumba... mie mzima sanaMie tena ah wapi ,hapa ni sura ya baba .
Vipi mzima lakini ?
Haya rafikiAcha.. hujajiumba... mie mzima sana
Mkuu kuna wababa manhsome, usiombe bint achukue sura yake..Mie tena ah wapi ,hapa ni sura ya baba .
Vipi mzima lakini ?
Hii ni kweli kabisa , kuna rafiki yangu ni mrembo haswa kafanana na baba ake ambaye ni handsome .Mkuu kuna wababa manhsome, usiombe bint achukue sura yake..
Naamini na urembo wako pia haumithiliki mkuuHii ni kweli kabisa , kuna rafiki yangu ni mrembo haswa kafanana na baba ake ambaye ni handsome .
Haumithiliki hapo sijaelewa Mkuu ,Naamini na urembo wako pia haumithiliki mkuu
Kwani nawewe ni mwembamba, Hebu weka kapicha tuone