[emoji12][emoji12][emoji12] kama vile nilivyomuibia mama yakoNishakuzoea kwa wizi mbona
Mchepuko? Nitake radhiNdiyo mchepuko wako siku hizi?
Hapana hii dhambi hata anko shetani ameikataa.umenisingizia.
Wow😀😀 naiomba na account ya bank naiongezea nyingine.. alafu naanza zero.. baada ya mda naishangaza tena inajileta naitia mimba mapacha, ikizaaa mimba tenaaa hiyo ndio inakuwa adhabu yake 😀😀😀😀 nakuwa natia tu mimbaaa.. nashukuru Mungu sijawai kuwa na woga wa kuanza sifuri maisha, sijawa na woga wa kuchekwa ku fail maisha, sijawai kuwa na woga wakupungukiwa nipo radhi kuisha maisha yoyote for a season
Mbona kama unaonekana ni hazibandi matirio..Chakorii Heaven Sent Saint Anne Tinsley Khantwe kipara ngoso Pep mahondaw
Usiku mwema wakubwa zangu 😊😊😊..
View attachment 2096695
Mie Bonge la husband materials sema hunitaki tuuu.. ila yote maisha acha nipambane na utoto wanguu.. acha niingie nianze soma vitabu kabla ya kulala.. karibu tusomeee basi.. huku umeniwekee guu hilo 🙄🙄🙄Mbona kama unaonekana ni hazibandi matirio..
Ngoja nikuangalie kwa jicho la rohoni 🥰🥰
Amen shem..imekuwa sasaImekua
Inuka sasa uende ukawasimulie jamaa zako mambo makuu Mungu aliyokutendea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi weeHuyo ndiye shemeji? Ntamdunda mimi
Yupo vizuriMbona kama unaonekana ni hazibandi matirio..
Ngoja nikuangalie kwa jicho la rohoni [emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa weuweeeeh.Asubiri invitation card tu,, akae mkao wa kukaa chini [emoji16][emoji16]
Sitaki Kesi sasa hivi za kukuletea maumivu ya shingoMie Bonge la husband materials sema hunitaki tuuu.. ila yote maisha acha nipambane na utoto wanguu.. acha niingie nianze soma vitabu kabla ya kulala.. karibu tusomeee basi.. huku umeniwekee guu hilo 🙄🙄🙄View attachment 2096711
Nimwalizie wapi darlingYupo vizuri
Hebu mwangalie .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2096025
ngoja wengine tusugue miguu tutoe magaga tusiwakwangue watoto wa watu[emoji3][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipendhii [emoji7][emoji7][emoji7]Kumbeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wembamba sasa..wewe kula hata upepo kidogo ujae jae
Mchepuko? Nitake radhi