Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

yaah! mkikogambana kama wapenzi, mnashift washkaji, kidogo mnakuwa wana.. kidogo mke yani nyumna mda wote inakuwa ya motooo.. sema utoto unaniponza nimekosa 😬😬😬
Si ndioo, mnacheza namba zote

______

Piga goti kama blaza kipara, dua zitafika
 
Awwww
Hizo data ulikusanya wapi? Jomoneeeeh c ungenidadisi mie mwenyew mbna ningekusadia ktk zoezi lako? Ukute sasa huko kuna sehemu umekosea ktk utafiti wako lol.

Afu kumbe nawee ni mtoto wa Anangisye? Mie nilijua uko chini ya taasisi ya mstaafu mwinyi pale karibu na Jangwani girls sec, nliona unapost sana mambo ya ktk taasisi ile. Kumbe nawee upo hapa opposite na mawasiliano tower?

Hebu tukutane PM bhas jomoneeeh, huenda ukawa mwaka wanguu huu.

mahondaw suala la mavazi na sare za harusi sitaki uniangushe.
Depal wee ndo mpambe wangu,
Chakorii kamati ya mapokezi itakufaa sana.
Lizzy mwenyeji wangu kuhusu kamati ya chakula fanya namna hapa.
Jack Palladino suala la vinywaji naomba ziwe za bei nafuu,
Saint Anne cc yafaa kuwa MC?
Karma mommah kamati ya ulinzi ni yakona nakuaminia.
Heaven Sent naomba mafundisho ya imani, malezi na maisha. c unajua ndoa sio lelemama.
mawardat mlongo music tafuta babu kubwaah.
Mshana Jr babuuh nadhan ndo msimamizi mkuu.
Satoh Hirosh kamati ya tahadhari na dharura hutaniangusha.

Wewe kijana wa hovyoo jina lako ngumu, suala la ukumbi na hotel ya kufanyia honeymoon ni lako, sitaki uniangushe hapo.

Na wengineo woteeeeeeeeeh. stay tuned mambo mazuri yanakuja hapa.
Mzee wa night Nipo Tyr hata uniamshe saa nane usiku nitayakimilisha majukumu yangu bila tatizo na sherehe itaisha salama...
 
πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜β€οΈβ€οΈβ€οΈπŸ’—πŸ’“πŸ’žπŸ’•πŸ˜πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜ miss you more
😘😘😘😘😘😘😘😘😘❀❀❀❀❀❀❀
 
Niache kuomba pesaa.. nikae naomba mke ni matumizi mabaya ya maombi na mda.. mie sio mweu kama kipara ngoso πŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜€
Kama nakuona ukipiga kasi kupata mke wa hivi..πŸ‘‡πŸΏ

 
Kama nakuona ukipiga kasi kupata mke wa hivi..πŸ‘‡πŸΏ

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Haitakaa itokee hiii.. hao wazee wa zamani ndio wamekuwa wanaingia mkenge huo.. alafu mie kumuachia mwanamke kila kitu sio issue.. naweza nikatoka hata uchi wa nyama.. baada ya mwezi akashangaa nime double..

................

Acha nikupe siri ya kuto babaishwa na mali au angulo

.................

Fanya chini juu katika maisha yako uwe na network ambayo ipo very strong na yenye uadilifu wa hali juu... strength katika maisha yako isijengwe na pesa au vitu ulivyo navyoo.. ukijenga strength kupitia vitu hukawii kuisha ukikutana na amajanga kama hayo
 
Kama nakuona ukipiga kasi kupata mke wa hivi..πŸ‘‡πŸΏ

katika maisha yangu nilisha jiapiza maisha yangu kutokuwa driven na mali, pesa au mtu.. mie hata leo ukinianzishai maisha ya kwenda kulala k. koo poa tu sioni noma but najua baada ya siku kadhaaa nitalaa vizuri labda unikate kichwa au uondoe akili na mdomo ndio utaniweza
 
Back
Top Bottom