Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kutokua mwoga ni kitu kizuri.

Lakini pia kuchukua measures ni vizuri even more.

Kuanza upya sio ujinga, ni jambo jema....lakini kama kunaepukika ni bora zaidi.
Maisha ni Mystery kuna vitu hufichwa kwa ajiri ya utukufu wa Mungu. Ndio maana Mungu kupitia vinywa watumishi wake anasema ametupa

...............

For God did not give us a spirit of timidity or cowardice or fear, but [He has given us a spirit] of power and of love and of sound judgment and personal discipline [abilities that result in a calm, well-balanced mind and self-control].

Hofu kwangu hainaga sehemu mie hata sasa hivi nikafungwe miaka kadhaa najua nikotoka natoboa tu.. sinaga woga wa kuanza sifuri au aibu 😊😊😊😊😀😀😀 mbele yetu kama kuna ukuta hatuoni na dawa yake ni kuishi huo mstari
 
Chakorii Heaven Sent Saint Anne Tinsley Khantwe kipara ngoso Pep mahondaw

Usiku mwema wakubwa zangu 😊😊😊..
View attachment 2096695
Ubarikiwe sana kipara bwashee
Maisha ni Mystery kuna vitu hufichwa kwa ajiri ya utukufu wa Mungu. Ndio maana Mungu kupitia vinywa watumishi wake anasema ametupa

...............

For God did not give us a spirit of timidity or cowardice or fear, but [He has given us a spirit] of power and of love and of sound judgment and personal discipline [abilities that result in a calm, well-balanced mind and self-control].

Hofu kwangu hainaga sehemu mie hata sasa hivi nikafungwe miaka kadhaa najua nikotoka natoboa tu.. sinaga woga wa kuanza sifuri au aibu 😊😊😊😊😀😀😀 mbele yetu kama kuna ukuta hatuoni na dawa yake ni kuishi huo mstari
Ubarikiwe sana kipara mdogo
 
naiomba na account ya bank naiongezea nyingine.. alafu naanza zero.. baada ya mda naishangaza tena inajileta naitia mimba mapacha, ikizaaa mimba tenaaa hiyo ndio inakuwa adhabu yake nakuwa natia tu mimbaaa.. nashukuru Mungu sijawai kuwa na woga wa kuanza sifuri maisha, sijawa na woga wa kuchekwa ku fail maisha, sijawai kuwa na woga wakupungukiwa nipo radhi kuisha maisha yoyote for a season
Etiiiiiii??????
 
😀😀😀😀 Haitakaa itokee hiii.. hao wazee wa zamani ndio wamekuwa wanaingia mkenge huo.. alafu mie kumuachia mwanamke kila kitu sio issue.. naweza nikatoka hata uchi wa nyama.. baada ya mwezi akashangaa nime double..

................

Acha nikupe siri ya kuto babaishwa na mali au angulo

.................

Fanya chini juu katika maisha yako uwe na network ambayo ipo very strong na yenye uadilifu wa hali juu... strength katika maisha yako isijengwe na pesa au vitu ulivyo navyoo.. ukijenga strength kupitia vitu hukawii kuisha ukikutana na amajanga kama hayo
Mbona umesound kama sio mtoto..jamani
 
Back
Top Bottom