Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wacha bhana😊😊😊 na hivi una mshape kama huoo wwee ☺️☺️
Wacha bhana😊😊😊 na hivi una mshape kama huoo wwee ☺️☺️
Nakwambia nenepa kidogo usikii we hayainasema mnaninyapaaa mie sio mtoto mkubwa mwenzenu 😬😬
Umenibania hata uji nanenepaje sasa.. 🙄🙄Nakwambia nenepa kidogo usikii we haya
kama weweee vile na guu lile na upaja ulee mjomba anafaidiii 😊😊Mbona kustuana mioyo jaman..🥲🥲
Kumbeeee🤣🤣🤣wee Dear usinambie? Yule mzee sana hawezi kuwa hivyo hata.
Afu nawee selfika nikuone bhas jaman, awwww


PoleUmenibania hata uji nanenepaje sasa.. 🙄🙄
Hahhhahahahhkama weweee vile na guu lile na upaja ulee mjomba anafaidiii 😊😊
🤣🤣🤣Dear 76 yrs wee unahisi atakuaje? Hebu nambie kwani![]()
PoleNisaidie asee
Huu udomo zege
Ni shida
Rafiki fanya kubariki siku ya leo kwa snap moja tu!Ooh nyumbani panafaa zaidi maana unapata muda kujiweka vizuri mara nyingi tofauti na saloon huko .
Madam mbona unaweka picha mida mibovu, rudia kwa hisani yangu na utapata bakshishiMnanijaza sio!!!! Nimeizoom Ndio maana dear sina hata cha maana!

Habari ya leo rafiki ?Rafiki fanya kubariki siku ya leo kwa snap moja tu!
Usiwe mvivu hivyo rafiki. Najua unaweza...Habari ya leo rafiki ?
Siku hizi nimekuwa mvivu kupiga picha , nikifanikiwa kupiga nitakutag .
😘😘😘 Nimeona lips...nikazipenda🏃🏃🏃🏃Pokea hiyo ya zamani kidogo .View attachment 2096190
Ooh vyemaNimeona lips...nikazipenda
![]()
Asante kwa snap, nimekuwa na bahati sana!!!Ooh vyema
Japo zipo kawaida .
Okay
kwa snap, nimekuwa na bahati sana!!!

