Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Machozi ya furaha ama masikitikoKila siku ungekuwa unalia 😄😄😄😄...
Machozi ya furaha ama masikitikoKila siku ungekuwa unalia 😄😄😄😄...
ya furahaaa tuu jamanii... ukiishi na mie ni kama upo na Cartoon ndani 😄😄😄🤣🤣🤣🤣😂😂😂 hutokaa unune hutokaa kwa amani ni timbwli timbwili kama Tommy and Jerry 😂😂Machozi ya furaha ama masikitiko
reli nyembamba inabeba mabehewa.. ebu nifanyieni wepesi jamani mie mkubwa mwenzu.. 😢😢😢
We ulisikia wapi mpasuanoNitakupasuaaaaaa mrembo mzuri 🙂🙂🙂
Eeh! mie sio katoto chaaa.. na kweli ndio maana wachumba wananikataaga nimegundua naonekana katoto dah
Halafu inaonekana unanifuatilia Kwa ukaribu mno wige😀
Napenda kufurahi muda mwingi.utanifaa sana Kwa matumizi ya yanguya furahaaa tuu jamanii... ukiishi na mie ni kama upo na Cartoon ndani 😄😄😄🤣🤣🤣🤣😂😂😂 hutokaa unune hutokaa kwa amani ni timbwli timbwili kama Tommy and Jerry 😂😂
Kula unenepe sasa we naeEeh! mie sio katoto chaaa.. na kweli ndio maana wachumba wananikataaga nimegundua naonekana katoto dah
Heee🙆😁Wacha inyeshe
Tuone panapovuja![]()
Bado mnaendeleea kuninyanyapaaaa eeh.. mahondaw ananitaa dogo. na wewe unaninyapaaa ka mwili kadogo nitawazibuaaaa 😬😬😬😬Kula unenepe sasa we nae
Wige kaelewa lips mate hizo 😊😊.. acha nimsemee tuHalafu inaonekana unanifuatilia Kwa ukaribu mno wige😀
Huyo anaonekana ndio mwili wake wee alivo wa kishua hivo angashanenepa mpaka kupasuka ...Wanene Wengi wao hawana pumzi na stamina kunako!!🚶Kula unenepe sasa we nae
Akipewa nanani sasa!!!!Ili usiitwe dogo…siku ukipewa mashine usilaze damu..ichakate haswa
kwenye ubora wakoo bosiiiiiiiiiiiiHuyo anaonekana ndio mwili wake wee alivo wa kishua hivo angashanenepa mpaka kupasuka ...Wanene Wengi wao hawana pumzi na stamina kunako!!🚶
Nani wa kunipa. machine yake.. acha nibaki tu na ka udogo kanguu.. wewe. mwenyewe wanikandamiza kabisa shimoni.. 😉😉Ili usiitwe dogo…siku ukipewa mashine usilaze damu..ichakate haswa
Khaa..Wige kaelewa lips mate hizo.. acha nimsemee tu

Ili usiitwe dogo…siku ukipewa mashine usilaze damu..ichakate haswa

