Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Zawadi yake ingine nimeificha moyoni....zimekua mbili.Eeeh ngoja niwaache mtu na shemeji yake
Ila huu moyo utapasuka sasa 🤣🤣
Kumbe?......
Hiyo imekaa vizuri hasa ukitinga ile rangi ya mbogamboga 🤣
Basi ndo maana pale Ileje njia panda walikua wanashangilia kwa nguvu...
Nikadhani shangwe lote lile ilikua kwa hili bodyguard langu lenye miraba minne?




