Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Karibu sana.Afu niko kwenye hili Jiji lenu la joto
Pita hapa kimara uniungishe barafu
Karibu sana.Afu niko kwenye hili Jiji lenu la joto
Mchuma Bomba, sauti yake tamuMheshimiwa wa madini tz ,,Leo nipo na kijani tu View attachment 2094920
Ngoja nikujeKaribu sana.
Pita hapa kimara uniungishe barafu
Nop usichokijua ni kwamba mimi nakuonaga uko decent sana na vile unavyopost habari za kupeleka moto sijui kupiga na kusepa ndiyo huwa naona hufananii kabisa


Mimi ni mwezi aliozaliwa mdogo wangu anayenifuata ndiye anayetufunguliaga mwaka kwa birthdays kwenye familia yetu na anayetufungiaga ni mamaBirthday nazikumbuka maana ni tar pia aliyozaliwa mama yangu.
Ooh team january.


Aahh kwa huto tumiguu hakuna bonge la mtu hapo


We kijana usitutafutie mabalaa sieHata mie nina black belt.. najua kupigana sana tu..![]()


Afu bday yako nishasahau mdogo wangu.Mimi ni mwezi aliozaliwa mdogo wangu anayenifuata ndiye anayetufunguliaga mwaka kwa birthdays kwenye familia yetu na anayetufungiaga ni mama![]()
🙄🙄🙄🙄 unanionajeee kwaniWe kijana usitutafutie mabalaa sie![]()
😂😂😂😂😂🙄🙄🙄🙄 unanionajeee kwani
Mnyama sana VX. R 🔥🔥🔥🔥sema diesel.. sijawai penda gari ya diesel toka dunia imeumbwaaMheshimiwa wa madini tz ,,Leo nipo na kijani tu View attachment 2094920
Mlokole sana kaka yangu huyu.Nop usichokijua ni kwamba mimi nakuonaga uko decent sana na vile unavyopost habari za kupeleka moto sijui kupiga na kusepa ndiyo huwa naona hufananii kabisa![]()
EwaaNgoja nikuje
Hakika Mungu ni mwema..Nimefurahi tu kukuona kaka Anne, ukiwa umechangamka kama kawaida yako.
God is good
🙄🙄🙄🙄 ila binadamu wote wanapelekeama motoo au nasema uongooo 😳Nop usichokijua ni kwamba mimi nakuonaga uko decent sana na vile unavyopost habari za kupeleka moto sijui kupiga na kusepa ndiyo huwa naona hufananii kabisa![]()
Mkuu umeiona movie ya Angelina Jolie inaitwa Tomb RaiderFeels good to see names of places za Tanzania yanatumika kwenye movie za mbelez. Yellowstone S04.View attachment 2095032


Nitakukumbusha ikifika ili usisahau tenaAfu bday yako nishasahau mdogo wangu.
Nikumbushe.


Kwenye ndoa siyo hovyo tu kama wanyamaila binadamu wote wanapelekeama motoo au nasema uongooo
![]()


😀😀😀😀 Kwenye ndoa inakuwa baraka alafu inanogaKwenye ndoa siyo hovyo tu kama wanyama![]()