Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mheshimiwa wa madini tz ,,Leo nipo na kijani tu
IMG_20220125_105250_553.jpg
 
Mabinti wamejaa kibao mdogo wangu ukiwa nao itapendeza zaidi kuanzia kwenye age difference...hata tofauti za miili kati yako na wao zinamatch.. sasa kijana mdogo ukutane na kijeba ngozi ishajikunja maziwa yashalala tumbo lishashuka afu full michirizi kutokana na uzazi aaawwwwuu haikuji kabisa pia you won't enjoy! Kijana una Nguvu zako unatakiwa tubinti sio mizee mizima!!
Hainaga majaribio hiyo ☺️☺️☺️.. laana hakunaga hata.. maneno tu ya vijiweni hayo
 
Mabinti wamejaa kibao mdogo wangu ukiwa nao itapendeza zaidi kuanzia kwenye age difference...hata tofauti za miili kati yako na wao zinamatch.. sasa kijana mdogo ukutane na kijeba ngozi ishajikunja maziwa yashalala tumbo lishashuka afu full michirizi kutokana na uzazi vaaawwwwuu haikuji kabisa pia you won't enjoy! Kijana una Nguvu zako unatakiwa tubinti sio mizee mizima!!
😄😄😄😄😄😄 kwaiyo vijana kwa vijana na wazee kwa wazeee asaleeeeee.... safiii kabisa, hii inapendeza wazeee kama zarithebosslady wapo... mzee ila mbichi kuliko binti 😃😃
 
Back
Top Bottom