Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Safari ndeeeeefu [emoji4] iringa - dsm - chuga
IMG_20220125_105346_852.jpg
IMG_20220125_105500_346.jpg
 
Wallah huwezi amin zaidi ya family yangu na hivi nipo mbali[emoji3]wananikoma,,,

Asubuhi,,,,,,umeamkaje mama? Mwanao nipo salama

Mida ya saa 4,,,,,ushakunywa chai mama???

Mchana,,,,,za mida hii mama,umepika nini leo? Ushakula?

Jioni,,,umeshindaje?

Usiku,,,ushakula?? Umelala? au unatizama Tv? Mie nalala mama,nikutakie usiku mwema,,nimekumiss[emoji8]

Habari ya kumpigia mtu simu halafu baada ya salamu anakuuliza VIPI?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ktk maisha yangu nae wapigia n mama na baba tyuuh, wengine wote n text tyuuh, labda waanze wao kunipigia.
 
Back
Top Bottom