Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,268
- 95,544
mbn kimya? mko lunch? wale wa kitimoto tunakutana wapi?
Kazimoto au Kontena[emoji23][emoji23][emoji23]mbn kimya? mko lunch? wale wa kitimoto tunakutana wapi?
Kwani ni nini unawinda hapa tangu asubuhi Mzee mwenzangu?[emoji23]Ishakuwa mchana madam Chakorii!!
Njoo mibs mkuu. Kuna Chops za maana.mbn kimya? mko lunch? wale wa kitimoto tunakutana wapi?
hahahaha.njoo contena kwa rasta .tupate lunch rafiki
Sawa Rafiki..Shukrani sana[emoji2]hahahaha.njoo contena kwa rasta .tupate lunch rafiki
ok..mibs ni wapi.?Njoo mibs mkuu. Kuna Chops za maana.
karibu
Sinza kwa Remmy...Unaingilia Shikamoo Pesa[emoji2]ok..mibs ni wapi.?
oh we utakua hapo.nije tupate hy kitimoto hapo
Sipo hata hapo Rafiki...Nipo mbali kidogo na hii mvua ya leo[emoji21]oh we utakua hapo.nije tupate hy kitimoto hapo
Nimeona rafiki hao mimi siwawezi nahisi unajua hilo!rafiki umeona ttz la vijana wa kisasa?
Heee😥Yeuyeee🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥰🥰🥰🥰🥰
Ananifahamu vyema.namzoom
mbn kimya? mko lunch? wale wa kitimoto tunakutana wapi?
🤣🤣🤣🤣Hallelujah
🤣🤣🤣🤣Shindwa na ulegee.wewe huyo vipi
sawa rafiki,home si pale pale ?Asante rafiki fanya unitumie... Tena Nina njaa hapa balaa!
Anashukuru..Naye anakupa Hi!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haya bwana.. mpe hi Makiwendo