ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,458
- 119,079
Haya makopa yatakuwa yameelekezwa wapi sasa!!
Haya makopa yatakuwa yameelekezwa wapi sasa!!
Umenikumbusha miaka hiyo shule. Niliupenda huu wimbo..Habari hiyo wimbo wangu, Daima nitamsifu Yesu.View attachment 2094478
Babu yako anasema tutaachana tu!!Halafu nawe nimekuweka kipolonakusubiri















😍😍😍
Ooh vyemaUmenikumbusha miaka hiyo shule. Niliupenda huu wimbo..
Yeah, hujambo lakini rafiki? Sijakuona mda kidogo..Ooh vyema
Wimbo mzuri huu .
Mzima , kaka vipi wewe ?Yeah, hujambo lakini rafiki? Sijakuona mda kidogo..
Niko vizuri tu! Only that njaanuary inatuhenyesha..Mzima , kaka vipi wewe ?
Nipo tu humu

Hii January iishe tu dah.Niko vizuri tu! Only that njaanuary inatuhenyesha..![]()
It is going to be well!Hii January iishe tu dah.
Mungu atuvushe salama
AmenIt is going to be well!
Kaweke hapa basi
Njoo tupige story, Niko boredWallah huwezi amin zaidi ya family yangu na hivi nipo mbaliwananikoma,,,
Asubuhi,,,,,,umeamkaje mama? Mwanao nipo salama
Mida ya saa 4,,,,,ushakunywa chai mama???
Mchana,,,,,za mida hii mama,umepika nini leo? Ushakula?
Jioni,,,umeshindaje?
Usiku,,,ushakula?? Umelala? au unatizama Tv? Mie nalala mama,nikutakie usiku mwema,,nimekumiss
Habari ya kumpigia mtu simu halafu baada ya salamu anakuuliza VIPI?
Ni udwanz tu. Eti tusile red meat, tuzingatie white meat blah blah blah.... Hivi mababu na mabibi walizingatia haya maswala kweli?Halafu mtu asiyejielewa anakwambia "acha kula nyama, wanyama nao Wana haki ya kuishi bla bla bla bla kula majani na matunda tu" daaah!


Siku nyingineNjoo tupige story, Niko bored

Kula kula kama meno bado ipo.Ni udwanz tu. Eti tusile red meat, tuzingatie white meat blah blah blah.... Hivi mababu na mabibi walizingatia haya maswala kweli?
Tena this weekend niende zangu waswanu nikale nyama ya nyati![]()
PoaSiku nyingine![]()