cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Ushatua Bongoland? Vipi hujaja na Jeep?
Ushatua Bongoland? Vipi hujaja na Jeep?





baridi lipi hilo bestiee?Umejuaje sasa shos, kuna lecturers wanoko hatareeeh, mda wote tests tyuuh, wanaboaAtakua bize na tests au assignments rafiki... Ila nisimsemee tumsubiri akuje atuambie


Ndo vizuri mizagamuo sasa.leo dar tu mwawingu, manyunyu ya hapa na paleee.. wengi wameshikwa na baridiiii




😀😀😀😀 baridi tyuuu... la kutekanabaridi lipi hilo bestiee?












baridi tyuuu... la kutekana





sasa wee baridi litoke wapi akati joto lipo?