Mbona nipo siku zote tu…..Ushatua Bongoland? Vipi hujaja na Jeep?
Kuna uzi niliona ulisema uko nchi za nje, na ulikua unapost pia mandhari ya huko, pia nliona unapost ndinga Jeep.Mbona nipo siku zote tu…..
Au wewe ushawahi kuniona kwingineko?
Hahaha!wasalimiekwa shayo
Yaani usiku wa Leo nkatamani babes awe near by..kaahh!yaani mvua ile mmelala km katoto!!Ndo vizuri mizagamuo sasa.![]()