Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,056
- 124,530
Mimi toka nimeamka saa tisa sijafanikiwa kupata usingizi tena...mvua ilipoanza na mimi nikaanza kufua, sasa hivi nimerudi tena kitandani[emoji12][emoji16][emoji16]imefanyaje!
Ila mvua ikiwa inanyesha halafu nyumba haivuji..inakuwa safi sana. Ni moto tu