Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Nilishawapa kitamboWape basi ili waache kuninyanyasa😌
Halafu imagine hadi leo sijafuta
Nimejiweka kwenye risk ati kwaajili yao 😎
Nilishawapa kitamboWape basi ili waache kuninyanyasa😌
Leo ikiwa Biriani naona itakua bien!safi.leo jumaa kareem,au furahi day, mchana birian au mandi?


awwwww.. hata hao ni ma pastor i hope unawajua wana mafundisho mazuri kweli ya ndoa 🙂🙂Namuomba Pastor ruhusa hapa, nitupie selfie yetu moja amazing![]()
safi ngoja nimalizie hp .niweke na oda kbs wakuleteeLeo ikiwa Biriani naona itakua bien!
Kabisa rafiki.. naisubiria kwa hamu🙇safi ngoja nimalizie hp .niweke na oda kbs wakuletee
Nilishawapa kitambo
Halafu imagine hadi leo sijafuta
Nimejiweka kwenye risk ati kwaajili yao 😎









Nime sacrifice maisha yangu 🤣🤣
Naona unaendeleza uchizi wako![]()
Hivi eeh??
🤣🤣🤣Nime sacrifice maisha yangu 🤣🤣
Kwaajili ya shemeji zangu..🤣🤣🤣
Kwa ajili ya mbogamboga
Mtangoo yule wa Idara Ya Telecommunications? pale DIT?Na ku recomend Stefano Mtangoo kwenye project yako ile, alikuwa mwalimu wangu wa java, php kitu kama sikosei C++ pamoja na API.. sema ndio niliachana na hayo nikawa tapeli tuu wa mjinj. but on serious work mpe jamaa ana hofu ya Mungu, ana mpenda Mungu na ni muaminifu.. utafurahi kufanya nae project