Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

God forbid
FB_IMG_1642775406809.jpg
 
Mwenzetu kayapatia maisha [emoji23][emoji23]

Huku utashangaa mama mkwe na mawifi wameanza kukemea pepo ghafla; kaka yao amerogwa teh[emoji23][emoji23]
😃😃😃😃😃 ndio maana mahala pa maisha na ya mke na mume.. haipendezi wageneni wa ukeni au uumeni kuja kuweka kambii.. wana bana bana mambo.. kuna kipindi mnakuwa na mood ya kuishi kama adamu na hawa ila kukiwa na watu ngumu 😂😂😂
 
Wenyewe wakisikia unalalamika mumeo ni kama Nabali, ndiyo wanapata ahueni. Angalau na kwako kunawaka moto kama kwao
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndio maana mahala pa maisha na ya mke na mume.. haipendezi wageneni wa ukeni au uumeni kuja kuweka kambii.. wana bana bana mambo.. kuna kipindi mnakuwa na mood ya kuishi kama adamu na hawa ila kukiwa na watu ngumu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom