Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😁
73F365DA-FA99-4880-B94F-791FCC54BBF4.jpeg
 
Ishi kwa kuaa uwepo mwa Mungu kila siku.. na utaona matokeo yake.. maana biblia inasema

Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;

bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

The more you waiting God katika uwepo wake ndivyo utavyozidi kupokea nguvu za kutawa katika metron yako na assigment yako.. na ndivyo nuru inazidi kuingida ndani mwako.. nuru kunwa reflection kubwa shetani hawezi kaa kwenye nuru.. na hii kukaa uweponi kwa Mungu ni siri.. kadri unavyokaa na kutii ile nuru ina relfect nje.. utakumbuka Yesu kipindi yupo mlimani na wanafunzi wake ghafla wakaon nuru ( Yesu aking'aa), ile ni nuru ikaaya ndani ya watoto wa Mungu kama mimi na wewe.. na huongezeka hata ku reflect kwa kadri tunavyo jisumbit na kukaa uweponi mwake by kutii neno lake, kufanya atakayo, fasting, spiritual exercise, praying, etc ☺️☺️
Sasa hapa natamani niwe namsikia kaka yangu akiwa anayaongea haya maneno mbele yangu🤗🤗🤗awww🔥
 
Back
Top Bottom