Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,190
Shikamoo kaka!!
Shikamoo kaka!!Msalimie LeeEvening friends!View attachment 2090512
Ni kweli kabsa kaka, alikuwa anaitwa mzee mtangoo, nilimjua kupitia kwa washikaji zangu waliokuwa telecom, mimi ni kijana wa mzee singoSi ndio alikuwa anaitwa mzee mtangoo.. inaoneka team mojaa.. vijana wa telecom au sio
AiseEvening friends!View attachment 2090512
Safi sana Engineer! Mapambano kama kaziNi kweli kabsa kaka, alikuwa anaitwa mzee mtangoo, nilimjua kupitia kwa washikaji zangu waliokuwa telecom, mimi ni kijana wa civil
furahi dayEvening friends!View attachment 2090512
Yeahh Utanipa locationfurahi day
haina ttz,weka ratiba yako vzrYeahh Utanipa location
Mahondaw kama mahondaw, good evening to you friendEvening friends!View attachment 2090512
Pamoja sana rafiki.... Jiandae kunizungusha huku nakule...haina ttz,weka ratiba yako vzr
🙃🙃🙃😜😜😜😜! Nipo hapa 🙇 nasubiria mualiko wa kiwanja Cha weekend...Mahondaw kama mahondaw, good evening to you friend
Mwaliko huukosi aiseee kwa muktadha huu! Nipo hapa
nasubiria mualiko wa kiwanja Cha weekend...

Weeh mbona sijaalikwa mpaka naulizia mwenyewe jamaniiii!!Mwaliko huukosi aiseee kwa muktadha huu![]()
Subiri wakubwa waje, ukikosa mwaliko nijulishe nichukue hio nafasiWeeh mbona sijaalikwa mpaka naulizia mwenyewe jamaniiii!!
Hakuna kitu kizuri kama kuumbwa Mwanaume duniani. 🏃🏃🏃🏃🏃Evening friends!View attachment 2090512
Kiuno hichooo 😋😋😋😋 rangi ya kiuno, ukute ina michiri kidoogoo nachana mkekaaa.. acha niendelee kutunza picha kwenye library languuEvening friends!View attachment 2090512
Na Hakuna kitu kitamu kama kuumbwa mwanamke duniani!Hakuna kitu kizuri kama kuumbwa Mwanaume duniani.![]()
Hahahaaa...Subiri wakubwa waje, ukikosa mwaliko nijulishe nichukue hio nafasi
