Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Najua ngumu kweli kunikumbuka, wengi tumepita mikononi mwako. Ila ni mmoja ya wanafunzi wako, umenifundisha C++ from zero paka advance level, umenifundiaha PHP OOP, ukanifundisha Yii, umenifundisha JAVA na umenifunidishaa API.. Nilikaa kitengo kwa ujuzi ambao nilipata nashukuru paka sasa hivi sio mtupu kwenye field.. nakumbuka mala ya kwanza kunifundisha ulinianzia na geany.. hadi leo ndio huwa nakatumia.. Asante kwa moyo mweupe katika kujenga na kuhamisha maarifaaa.. kwa wengine kwa moyo uliokunjuka.. sikupambi hataa.. najua moyo wako kwa kipindi ambacho ulikuwa unanifundisha.. na kufundisha wengine.. nipo kwenye field.. hapo jamaa yangu nilikuwa namtamia tu kuwa nimekuwa tapeli tapeli c. c Satoh Hirosh
Ook nmekupata baada ya kusoma post hii
 
B01A6B62-0A0B-4A8C-8BED-17556A7D65FF.jpeg

Today
 
Back
Top Bottom