Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,238
- 95,466
hahaha,lala unono rafiki..Niko nasinzia sasa rafiki! Nikistuka ntaweka hadi fesiii
hahaha,lala unono rafiki..Niko nasinzia sasa rafiki! Nikistuka ntaweka hadi fesiii
Ungepata parachichi kidogo hapo pembeni dahhh!! Mchemsho poa sana huo!😋Dinner [emoji2][emoji2]View attachment 2088615
Asante rafiki..Bonne nuite!hahaha,lala unono rafiki..
Hapana chezea ×Hebu angalia hii clip,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akiyanani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Satoh bana, si useme tu ni mwaka 1989, eti late 80s. Kumbe bado kadogo[emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7]
Ameeeeeeen!!Nakula neno kwanza hapa.. tupia na yako basiiiView attachment 2087676
Nilivyosoma comment yako nikajikuta nakumbuka hiyo clip😂😂😂😂😂😂🙌Hapana chezea ×
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah we acha tyuuh, leo siku yangu imeenda full burudaaan.@cocastic wahii hukuu
Nimependa mandhari yake, [emoji7][emoji7][emoji7]
Nilivyosoma comment yako nikajikuta nakumbuka hiyo clip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nikakumbuka pia kipindi naupiga mwingi nilivyokuwa naforce vitu vibalance[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman shos angu leo nilikua na tukio 1 kubwa sana, yaan wee acha tyuuh. Uwiiiiiihcocastic 9.8ms squared mmetingwa nanini???
[emoji1787][emoji1787]we acha tu mkuu
Aisee! Kwenye IST hutoshi[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kitu. Mtu anakaa kwenye gari unaona yupo juu[emoji23][emoji23] unajiuliza kwani kaweka mito mbona yupo juu juu ..kumbe zigo sio poa..dah!Left handed wenzangu nawasalimu[emoji8] [emoji113]!!! Usiku mwema wana selfika!!View attachment 2088578
Mimi ni nani nianze kubisha! Kumbe hisia zangu zilidanganya.Brod darling; all these years niwe early au mid 30s kweli?
Aaa wapi! [emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nitupie