We ukisikia wapiSio shemeji tena![]()
🤣🤣🤣Kwamba
Ni shem wake
Kaka yako wa damu
Hivi HM ndie 9.8!!Si tulikubaliana HM ndiye kaka yangu wa damu🙆
Kukuhujumu tutakuhujumu tu...na picha utatumaIli mpate picha ni hadi muache kunihujumu😀
hahahahaAaa wapi!![]()
Utata ndio maisha yanguhutaki nn? Acha utata
mm mnyonge bana.utanionea bureUmekubali Kwa upole mno kipenzi 😃😃
Ooh asante sn mkuu.Sikujua maana ya neno lkn nilipoona wewe ndy umeandika nikajua ninneno zuri😀Hangamaga (ishi maisha marefu sana kwa kadri inavyowezekana!). Kisukuma![]()
Nakutabiria upo around 25-29Brod darling; all these years niwe early au mid 30s kweli?
Pep shemeji zako wananinyanyasa😒Kukuhujumu tutakuhujumu tu...na picha utatuma
Ndio huyohuyo.Hivi HM ndie 9.8!!
Eeeeeh!!!!🤣🤣🤣
Ameruka ruka weeee..mwisho paaa IMO
Nikichoka napachika jibu lolote tuIli mradi tu upate ×=2![]()