Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ni hesabu zako zipi ambazo zimewahi kukubali?
Najaribu kukuweka kwenye 40 ila hesabu zangu zinagoma![]()
Najaribu kukuweka kwenye 40 ila hesabu zangu zinagoma![]()
Dah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ni hesabu zako zipi ambazo zimewahi kukubali?
Nimekumbuka vile hesabu zangu zilikuwa hazitoki mwisho...naanza kuforce kubalance🤣🤣🤣
Hebu angalia hii clip,,🤣🤣🤣akiyanani😂😂😂
we acha tu mkuuBora tu nijichange ninunue walau Forester!iST haifai kubebea mzigo kama huo!
Ndio maana mtu chake anachanganyikiwa!![]()
...,
we acha tu mkuu
Rangi anayopenda hapo tayari nimeshapaka, bado yeye tu kumweka hapo!














🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Jamanii!!
Inaonekana ndio rangi unayoipenda! Na mimi pia ni left handed, bado track suit nyeupe tu! Na wewe kusimama mbele ya hiyo rangi!!! Jamanii!!















Nipo hom rafiki am about to sinzia 😴😴😴!!uko wapi rafiki?
Hahahaaa..Inaonekana ndio rangi unayoipenda! Na mimi pia ni left handed, bado track suit nyeupe tu! Na wewe kusimama mbele ya hiyo rangi!!![]()
kwani lzm usinzie? Mapema sana.njoo upate kahawaNipo hom rafiki am about to sinzia 😴😴😴!!
Yani nina huo usingizi balaaa..macho mazitooo hapa..lol wataka tukeshe wote lindoni rafiki!??kwani lzm usinzie? Mapema sana.njoo upate kahawa
pumzika rafiki,usisahau moya ya kulaliaYani nina huo usingizi balaaa..macho mazitooo hapa..lol wataka tukeshe wote lindoni rafiki!??
Niko nasinzia sasa rafiki! Nikistuka ntaweka hadi fesi jiandaenipumzika rafiki,usisahau moya ya kulalia

