Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Aah siwezi...labda unipe linkUtafute tena ule uzi usome vizuri!
Aah siwezi...labda unipe linkUtafute tena ule uzi usome vizuri!




Dah we dogo😀Si wewe wa 96😅..alafu mnavyonikomalia kuniita mtoto sijui mna lengo la kuninyima nini nyie watu
Mwingine Depal ambaye anapenda kuota watu watoto
hahahaha,hkn upambe hapo rafiki,umesema kweliSi ndio nashangaa na mimi eti upambe
Sitaki uweke
Ntamuonesha ,ngoja nimnyanyase kwanza![]()
🤣🤣🤣
Dah😂😂😂😂
wax moja matata sioWax rafiki..!
Oui mon ami!wax moja matata sio
Hangamaga!Leo ni siku yangu ya kuzaliwa..Happy birthday to me!!
Baadae nitatupia picha full..stay tune!!




Mkuu hii ni lugha gani😅..sijaelewaHangamaga!![]()
Nilishaweka jana hadi nika blow cover yangu.Sitaki uweke
Ntamuonesha ,ngoja nimnyanyase kwanza🤣
Early to mid thirties...most likely!
SikuonaView attachment 2088522
Hii uliiona kwenye huu uzi?
Hangamaga (ishi maisha marefu sana kwa kadri inavyowezekana!). KisukumaMkuu hii ni lugha gani..sijaelewa



Boss Lady hujambo? Kwema huko?Oui mon ami!
Kwema rafiki! Habari za huko!!Boss Lady hujambo? Kwema huko?
Sikuona