Tatizo hivi vibinti vinaona dili kuonekana vikubwa kwa kaka na dada zao! Ila vinasahau kuwa uzee ni real! Vikifika kwenye 32 vinageuza namba visomeke 23!
Nasoma sana biblia, iisipokuwa huwa siweki alama yoyote wala kuandika chochote, kwasababu huwa mda wowote huwa nagawa biblia zangu.. pale ambapo naona mahala kuna uhitaji.. hapo imelala from mwazno to ufunuo nakuwaga narudia rudia tu