Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220118-032353.jpg
 
Mjukuu wangu unaye huko Zanzibar? Hajaoneka nyumbani tangu juzi. Lipate la kukupata huko visiwani dadeki [emoji51][emoji51][emoji51]
Tulia mzee!! Sasa ningekuwa sijamchukua huku wewe ungemfanya nini huko zaidi ya kumwangalia kama unasoma gazeti!? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom